Amedeus Live Podcast

Pokea Uponyaji wa Figo zako


Listen Later

Uponyaji ni mkate wa watoto.
Afya njema ni fungu lako.
Yesu Kristo ni yeye yule, leo, Jana na hata milele! Kama aliweza kuponya watu kabla kufa, kufufuka na kupaa, anaweza kukuponya pia Leo hii kupitia makala hii kwa sababu yupo hai ndani yangu na ameivuvia makala hii kwa nguvu yake ya Uponyaji.
Pokea uponyaji wako Leo, pokea afya yako leo, pokea Jibu lako katika Jina la Yesu Kristo.
https://prayerclouds.org/app/amedelive
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael