Karibu ungane na Frateri Elikana Nyagabona, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, akijibu swali lililoulizwa na Msiklizaji likihoji, katika amri za Mungu, amri ya kwanza inasema usiabudu Miungu wengine, Je Miungu wengine ni kina nani?L'articolo Je, Mungu alisema kuna Miungu mingine? proviene da Radio Maria.