Karibu uungane nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika kipindi cha maadili yetu, leo nipo na Frateri Erick Kimario, Frateri Paschal Kasona na Frateri Daudi Mwamonje, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Paulo Kipalapala, Jimbo Kuu la Tabora, wakizungumzia haki ya Mtu kuchagua hali ya kuishi anayoipenda zaidi.L'articolo Ifahamu haki ya Mtu kuchagua maisha mazuri ya kuishi. proviene da Radio Maria.