Karibu ungane nami Mtangazaji wako Patrick Tibanga, katika kipindi cha Historia ya Kanisa ambapo leo tupo naye Mhashamu Method Kilaini, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, leo anaendelea kujibu Maswali mbalimbali yanayoulizwa na wasikilizaji, akijikita zaidi swali linaloulizwa, kwanini Bikira Maria alipata Mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu?