Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
May 03, 2023Wajibu wa Katibu Msadizi walei na kamati yake ni upi?Ungana na Mtangazaji Frank Kashonde katika kipindi cha Utume wa Walei, Mada itakayo zungumzwa ni juu ya wajibu wa katibu Msadizi na kamati yake, Mwezeshaji ni Mwalimu Maarim Verald Mushi, Mjumbe wa kamati ya uinjilishaji kutoka Jimbo kuu la Dar es salaam....more59minPlay
May 03, 2023Je Sakramenti ya mpako Mtakatifu wa wagonjwa uliwekwa na Yesu Kristo.Ungana na Brigitha Msasalaga katika kipindi cha Maswali ya Imani, mada itakayozungumzwa ni Sakramenti ya mpako Mtakatifu wa wagonjwa uliwekwa na Yesu Kristo? Mwezeshaji ni Frateri Elikana, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho- Jimbo kuu la Sangea....more29minPlay
May 03, 2023Je wa fahamu nani alie shudia kipindi Yesu anaweka Sakramenti saba.ungana na Mtangazaji Mary Mashine katika kipindi cha Maswali ya Imani, mada inayozunguzwa ni nani alikuwepo kipindi yesu anaweka Sakramenti saba za kanisa, Mwezeshaji ni Frateri Innocent Kambole kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea....more30minPlay
May 03, 2023Jipatie Elimu ya Maswala ya Ugonjwa wa Moyo.ungana na Mtangazaji Happyness Mlewa katika kipindi cha Ijue afya yako, na mada itakayozungumziwa ni juu ya Ugonjwa wa Moyo,wawezeshaji ni Dokta Projestus Sita pamoja na Dokta Hellena kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mt. Francisco, Jimbo katoliki la Ifakara....more52minPlay
May 03, 2023Fahamu wito wako.ungana na Mtangazji Frank Kashonde katika kipindi cha Fahamu wito wako, kinacho zungumzia maswala tofauti juu ya wito, mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi wa Shirika la Ndugu wa dogo Francisko wa kapuchini , (OFM,Cup) kutoka Jimbo katoliki la Moshi....more53minPlay
May 02, 2023Je sala ya salamu Maria imeandikwa wapi katika Biblia Takatifu???Ungana nami Frateri Emilian Samson Mahinya wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya nikikuletea majibu ya swali hili kutika hapa Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki la Songea....more11minPlay
May 01, 2023Nini Maana ya Rozari Takatifu? / Je unafahamu historia & nafasi yake katika Liturujia?Na Frateri Emilian Samson Mahinya. Rozari ni sala ambayo inahusisha maneno na tafakari juu ya maisha ya Kristo kwa ujumla na maisha ya mama yake na mama yetu yaani Bikira Maria. Rozari takatifu inabeba mtakumbuka sala ya Salamu Maria, Baba Yetu na pia sala ya Utatu Mtakatifu yaani, Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, […]...more13minPlay
April 28, 2023je wafahamu Asili ya uanzishaji wa sakramenti ya Kipaimara?.ungana na Mtangazaji Frank Kashonde katika kipindi cha Maswali Yahusio Imani, na mada itakayozungumzwa ni juu ya asili ya historia ya Sakramenti ya Kipamara, Mwezeshaji ni Frateri Michael Paulo kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino- Peramiho- Jimbo kuu la Songea....more26minPlay
April 28, 2023Je wa fahamu Malengo ya kuanzisha vyama vya kitume katika kanisa?.ungana na Frank Kashonde katika kipindi cha Maswali Yahusio Imani na mada ni, malengo ya kuanzishwa vyama vya kitume katika kanisa nini?, mwezeshaji ni Frateri Ayuto Kongo Kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino -Peramiho- Jimbo kuu la Songea....more27minPlay
April 28, 2023unadhani kwanini tarehe ya sikuku ya Pasaka hubadilika kila Mwaka?.ungana na Mtangazaji Godfrey Balozi katika Kipindi cha Maswali Yahusio Imani, na mada itakayozungumziwa ni kwanini tarehe ya sikuku ya pasaka hubadilika kila Mwaka, Mwezeshaji ni Frateri Cassian Leba, kutoka Semianari kuu ya Mtakatifu Augustino- Peramiho -Jimbo kuu la Songea....more26minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.