Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Paulo Kasanda John kutoka Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Wamisionari Malya, Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akijibu swali hili Je, Sakramenti ya Mpako Mtakatifu wa wagonjwa iliwekwa na Bwana wetu Yesu Kristo, na je, imetajwa wapi katika Maandiko Matakatifu?L'articolo Je, Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa iliwekwa na nani? proviene da Radio Maria.