Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, Wawezeshaji ni Federika Bayaga, Paschal Maziku, Melania Maziku, Benedict Kessy, Benjamini Wasonga, Liliani Wasonga na Katekista Castory Matimla, wakitufundisha juu ya kumalizia nyumba kwa kujenga Familia Bora na Nyumba Aminifu.L'articolo Je, wafahamu Malezi chanya ya Watoto ? proviene da Radio Maria.