Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiw nami Frateri Principius Gabriel Katabazi, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Injili ni vitabu vilivyotokana na nukuu za maneno ya Yesu mwenyewe, mbona tuna Injili nne tu katika biblia?Je, mitume wengine hawakuweza kuandika nukuu ya Injili ?
L'articolo Ni, kwanini Injili ziko nne tu katika Biblia Takatifu ? proviene da Radio Maria.