Karibu uungane nami Judith Mpalanzi , katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frateri Franco Abel Ubamba, kutoka Parokia ya Bikira Maria Mpalizi Mbinguni, Jimbo Katoliki la Mafinga, akijibu swali linalohoji mara nyingi tunasali Bikira Maria Mkingia dhambi ya Asili, Je? Kanisa fundisho hili wamelitoa wapi.