Karibu ungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Ismani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akiendelea kutufundisha juu ya Ekaristi Takatifu na kama maandalizi ya kuingia katika kongamano la Kitaifa la Ekaristi Takatifu na Historia yake.