Karibu uungane nami Raymond Karega katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frateri Altho Albert Mlelwa, kutoka Parokia ya Bikira Maria Mpalizi wa Mbinguni Makete, Jimbo Katoliki Njombe, akijibu swali linalohoji Mavazi yanayovaliwa na Maaskofu, Mapadre na Mashemasi Kanisani yana maana gani?
L'articolo Je, wafahamu Mavazi yanayovaliwa na Maaskofu, Mapadre na Mashemasi maana yake? proviene da Radio Maria.