Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana... more
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.
November 24, 2021MAKALA YA JINSI SEKTA YA AFYA ILIVYOIMARIKA BAADA YA UGATUZI KWALEMakala by Ali Nariri...more10minPlay
November 21, 2021Tamu Tamu ya asali yapotea kwa ukameMbali na kuwa mdudu mkali wapo waliozama katika ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uzalishaji wa asali kwa matumizi mbalimbali ikiwemo dawa.Ikumbukwe kuwa si wengi wenye ujasiri na ukakamavu wa kufuga nyuki kutokana na dhana na kasumba kuwa ni wadudu hatari kufuga licha ya kuwa na manufaa tele. Ufugaji wa nyuki hauna mahitaji mengi ikilinganishwa na ufugaji mwengine wowote cha msingi ni mfugaji kuwa na mizinga. Kama ukulima na ufugaji wengine wowote ule Nyuki pia hutegemea mvua kwa sababu nyuki hutegemea maua kama chakula na wakati wa mvua ufugaji wa nyuki na uzalishaji asali hushamiri.By:Mwanaharusi Rashid...more15minPlay
November 20, 2021Uongozi wa wanawake Wapigiwa upatu Pwani.Wanawake wengi wameshindwa kuafiki katika maswala ya uongozi kutokana na kasumba inayoendelezwa na baadhi yao kwamba mwanamke hawezi kuwajibikia majuku yake ipasavyo.Kulingana na takwimu za shirika la kimataifa la wanawake UN Women, duniani kuna nchi 27 ambapo wanawake wanachangia chini ya asilimia 10 ya wabunge.By:Nuru Mwalim...more10minPlay
November 18, 2021Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale-Part 2Pamba ni zao ambalo hustawi vizuri katika sehemu kubwa humu nchini. Lakini licha ya hivyo watu wengi hawajaukumbatia sana ukulima wa mmea huo.Mhariri wetu Ruth Keah aliwatembelea baadhi ya wakulima wanaoendeleza ukulima wa pamba ya kisasa katika kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo awamu ya pili- Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale.By:Ruth Keah...more9minPlay
November 18, 2021Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale-Part 1Pamba ni zao ambalo hustawi vizuri katika sehemu kubwa humu nchini. Lakini licha ya hivyo watu wengi hawajaukumbatia sana ukulima wa mmea huo.Mhariri wetu Ruth Keah aliwatembelea baadhi ya wakulima wanaoendeleza ukulima wa pamba ya kisasa katika kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo- Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale.BY:Ruth Keah...more9minPlay
November 18, 2021Wanafunzi waliopachikwa mimba warudi shuleni KwaleSimulizi zifuatazo ni za waschana kati ya umri wa miaka 13-14 kutoka shule za msingi tofauti tofauti hapa Kwale.Watoto hawa chini ya umri wa miaka 14 wamedhulumiwa kwa kupachikwa mimba na sasa ni walezi wa watoto.Ila watoto hawa ambao pia ni wanafunzi wameziweka nia za kuendeleza masomo yao ima kwa mimba au baada ya kujifungua.By: Mwanaharusi Rashid...more16minPlay
October 28, 2021Mazingira na Ajira part 2Huku changamoto za taka zikiendelea kulikumba jiji hili la mwambao wa Bahari Hindi, makundi ya kujitegemea yamechipuka kama uyoga kuisaidia serikali ya kaunti ya Mombasa kukabiliana na jinamizi hili.By: Majani Rashid...more7minPlay
October 28, 2021Mazingira na Ajira part 1Vijana wabuni ajira kupitia kuboresha usafi wa mazingira mitaani Likoni, Mombasa.Huku changamoto za taka zikiendelea kulikumba jiji hili la mwambao wa Bahari Hindi, makundi ya kujitegemea yamechipuka kama uyoga kuisaidia serikali ya kaunti ya Mombasa kukabiliana na jinamizi hili. By: Majani Rashid...more10minPlay
October 21, 2021Tumaini ya Kina MamaUlemavu ni swala ambalo hadi sasa baadhi ya jamii nchini wanalichukulia kama laana na mzigo katika jamii huku jamii ya kiume ikionekana kuchukua usukani katika dhana hiyo. By:Nuru Mwalimu...more10minPlay
October 18, 2021Mashindano ya Maboti KilifiMashindano ya Maboti ufanyika kila mwaka kaunti ya Kilifi bonyeza usikikilize.By:Baya Kitsao...more6minPlay
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.