Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana... more
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.
July 26, 2021UBAKAJI WA MATEJA WA KIKEKaunti ya Mombasa ina idadi kubwa ya waraibu wa kike wa mihadharati, ambao wengi wao hujipata wamebakwa wakiwa maskani mwao.Wengi wa waraibu hao hushindwa kutafuta haki baada ya kubakwa,hivyo kuishia kuishi na makovu ya milele.By Athman Luchi...more9minPlay
June 21, 2021JINSI WANAFUNZI WANAUZA MILI YAO KUPATA PESAKuhusu jinsi wanafunzi wanauza miili yao ili wapate pesa ya kununua sodo kutokana na umaskiniby Baya...more5minPlay
June 18, 2021DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA | PART 2Awamu ya pili ya makala ya dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya Covid-19.by Mwanaharusi Rashid...more12minPlay
June 18, 2021HABARI ZA URONGO KUHUSU ASTRAZENECA MITANDAONIMakala haya mitandao ya kijamii inavyoeneza habari za urongo kuhusu chanjo ya virusi vya Corona ni sehemu ya pili. Inazungumzia jinsi watu waliokuwa tayari kupata chanjo ya virusi vya corona pindu tu vilipothibitishwa humu nchini. Lakini kwa sasa wamebadili nia zao kwasababu ya habari walizozisoma kutoka mitandao ya kijamii kuhusu chanjo hizo.by Ruth Keah...more10minPlay
June 18, 2021DHANA YA KUTOKUWEPO KORONA NCHINI | PART 2Tunaendelea na sehemu ya pili ya makala dhana ya kutokuwepo na Corona nchini Kenya. Katika sehemu hii ya pili tunaungana na wakenya waliopata virusi vya Corona hapa nchini.by Nuru Mwalimu...more10minPlay
June 14, 2021DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA | PART 2Licha ya baadhi ya watu katika jamii zetu kuamini kuwa watu wanaougua ugonjwa wa Sickle Cell yaani Selimundu hawashikwi na korona, tumepata kuona kuwa dhana hiyo haina ushahidi wowote wa kitaalamu.Karibu katika makala haya ambapo leo tuna weka wazi kuwa wagonjwa wa sickle cell wanashikwa na corona kinyume na inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Kulingana na mtaalamu wa sickle Cell kutoka London kule Uingereza daktari Rachel Kesse-Adu, katika awamu ya kwanza ya corona wagonjwa 250 wa sickle cell waliambukizwa virusi hivyo na idadi hio ikapanda hadi watu 555 katika awamu ya pili ya msambao wa corona.Jina langu ni Athuman Luchi...more5minPlay
June 11, 2021DHANA KUWA HAKUNA CORONA NCHINI KENYABaadhi ya wakenya wako na dhana kuwa hakuna corona nchini kenya kutokana na kuwa wa afrika wako na kinga thabith ambayo inawakinga didhi ya kupatwa na virusi hivyo huku baadhi wakidai kuwa ni mpango wa serikali kujipatia fedha.by Nuru Mwalimu...more11minPlay
June 07, 2021DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONANi kuhusu dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya corona.Hii ni sehemu ya kwanza ya makala. Lengo ni kusambaza ujumbe kwa wale wanaoamini dhana hii kuwa dawa.....Baada ya kuzuka kwa virusi vya corona kumekua na habari aina tofauti kuhusu hatua za kuchukua kuepuka kuambukizwa, na habari nyengine kuhusiana na tiba ya corona.Mojawapo ya habari iliyopata umaarufu nchini ni kuhusu utumizi wa tangawizi, limau na asali.Je mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga au tiba ya corona.by Mwanaharusi Rashid...more10minPlay
June 04, 2021DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONAJanga la corona, limekuja na changamoto si haba kwa watu wote duniani na hapa nchini Kenya, watoto wameathirika zaidi. Katika kaunti za Mombasa, Kwale na Kilifi, Watoto wanaougua maradhin ya sickle cell wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya korona kwani kuna dhana potofu kuhusu hali yao na jinsi corona haiwezi kuwaathiri.Baadhi ya wazazi wanadai kuwa wagonjwa wa sickle cell hawashikwi na corona.Athman Luchi...more8minPlay
May 31, 2021HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONAMakala haya MITANDAO YA KIJAMII INAVYOCHANGIA UTOAJI WA HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA yanazungumzia kuhusu jinsi watu wanavyopokea habari tofauti tofauti kuhusu chanjo ya ugonjwa wa Covid- 19 hasa kupitia mitandao ya kijamii.Ruth Keah....more9minPlay
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.