Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana... more
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.
November 25, 2022Mwelekeo Kwa wajane waliodhulumiwaLicha ya kuwa na haki ya urithi pindi mwanawake anapofiliwa na mumewe, jamii imekua tishio kubwa kwa kina mama pindi wanapofiliwa kutona na mila na desturi potofu katika jamii huku takwimu nchini zikionesha kuwa takriban wajane milioni 8 nchini wametelekezwa kutokana na mila potofu na umaskini.Mwandish: Nuru Mwalim....more22minPlay
November 22, 2022Kaa La WanawakeMakala haya yanahusu wanawake wanaopata mafunzo ya kujikimu kimaisha wakati ambapo suala la ajira limekuwa changamoto nchini. Kando na kujikimu ki maisha, mafunzo wanayopata vile vile yanalenga kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi....more17minPlay
November 10, 2022Kilimo Baharini/Part 2Wakazi wengi ukanda wa pwani wamekuwa wakitegemea kilimo cha nchi kavu.Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayosababisha hali ya ukame kukithiri, Sasa baadhi yao hasa wanawake wamegeukia kilimo mbadala cha baharini kama anavyoeleza Ruth Keah kwenye makala ifuatayo....more12minPlay
November 10, 2022Kilimo Baharini/Part 1Wakazi wengi ukanda wa Pwani wamekuwa wakitegemea kilimo cha nchi kavu.Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayosababisha hali ya ukame kukithiri, Sasa baadhi yao hasa wanawake wamegeukia kilimo mbadala cha baharini kama anavyoeleza Ruth Keah kwenye makala ifuatayo....more11minPlay
November 08, 2022Wazazi wakiume waanza kukumbatia ulezi wa watoto walio na Maradhi yanayosababisha ulemavu/Part 2Kina mama wanaolea Watoto walio na maradhi ya kichwa maji (hydrocephalus) na mgongo wazi (Spinabifida) hupitia changamoto chungu nzima ikiwemo kutelekezwa na waume zao.Hata hivyo chakutia moyo hapa ni kwamba kuna baadhi ya wazazi wanaume ambao wameanza kuwa na ufahamu kuhusu magonjwa hayo,Na wanasaidia wazazi wa kike kuwapeleka Watoto hao hospitalini kwa matibabu, na mazoezi.Kama anavyoeleza Ruth Keah kwenye Makala yafuatayo....more9minPlay
November 08, 2022Wazazi wakiume waanza kukumbatia ulezi wa watoto walio na Maradhi yanayosababisha ulemavu/Part 1Kina mama wanaolea Watoto walio na maradhi ya kichwa maji (hydrocephalus) na mgongo wazi (Spinabifida) hupitia changamoto chungu nzima ikiwemo kutelekezwa na waume zao.Hata hivyo chakutia moyo hapa ni kwamba kuna baadhi ya wazazi wanaume ambao wameanza kuwa na ufahamu kuhusu magonjwa hayo,Na wanasaidia wazazi wa kike kuwapeleka Watoto hao hospitalini kwa matibabu, na mazoezi.Kama anavyoeleza Ruth Keah kwenye Makala yafuatayo....more8minPlay
October 31, 2022Ahudumia jamii licha ya changamoto ya kuonaKila mwaka Alhamisi ya pili ya mwezi Oktoba ni maalumu kwa kuelimisha jamii kuhusu ulemavu wa kuona, athari zake na njia za kuzuia matatizo ya macho.Mwaka huu,siku hiyo iliadhimishwa tarehe 13 mwezi wa Oktoba. Makala haya ambayo yametayarishwa na Ruth Keah, yanazungumzia kuhusu mwanamke ambaye ana changamoto ya kuona lakini amepuuza changamoto hiyo na anahudumia jamii kwa njia mbalimbali....more8minPlay
October 21, 2022Hamasa zilivyosaidia wakazi wa Rabai-Kilifi kuepuka homa ya Chikungunya - Part TwoMakala haya yanazungumzia kuhusu jinsi idara ya afya gatuzi dogo la Rabai kaunti ya Kilifi ilivyoweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa homa ya Chikungunya.Hii ni baada ya homa hiyo kuripotiwa kaunti jirani ya Mombasa.Imetayarishwa na kusimuliwa na Ruth Keah....more11minPlay
October 21, 2022Hamasa zilivyosaidia wakazi wa Rabai-Kilifi kuepuka homa ya Chikungunya - Part OneMakala haya yanazungumzia kuhusu jinsi idara ya afya gatuzi dogo la Rabai kaunti ya Kilifi ilivyoweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa homa ya Chikungunya.Hii ni baada ya homa hiyo kuripotiwa kaunti jirani ya Mombasa.Imetayarishwa na kusimuliwa na Ruth Keah....more8minPlay
October 21, 2022Mradi wa Skills Mtaani waboresha elimu kwa Vijana MombasaTangu ya kuanzishwa kwa Mradi wa Skills Mtaani eneo bunge la Mvita zaidi ya Vijana 11,000 wamenufaika na mradi huo na sasa wengine wameajiriwa na wengine wamefungua biashra zao.Mwanahabari wetu Athuman Luchi ametuandalia makala,kuhusu mradi huo....more14minPlay
FAQs about RadioRahma:How many episodes does RadioRahma have?The podcast currently has 192 episodes available.