Katika masaa 24 ya siku, unahitaji kutenga saa moja kwa ajili yako binafsi. Kwa kuweza kuitumia vizuri saa hii moja utaweza kuwa na maisha bora yenye mafanikio makubwa.
Sikiliza kipindi hiki ujue njia bora za kuenga na kutumia saa moja kwa ajili yako binafsi.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.