Kwa maana itajulikanaje kuwa nimepata neema mbele zako, mimi na watu wako? Siyo kwa sababu unakwenda pamoja nasi, hata mimi na watu wako tutengwe na watu wote walio juu ya uso wa nchi?
KUTOKA 33:16
Sababu ya tatu Musa anatoa ya uamsho ni mwito wake juu ya mataifa : "Kwa maana itajulikanaje kuwa nimepata neema mbele zako, mimi na watu wako? Siyo kwa sababu unakwenda pamoja nasi, hata mimi na watu wako tutengwe na watu wote walio juu ya uso wa nchi?"
Tumezingatia nia tatu katika kuombea uamsho. Kwanza ni jina na heshima na utukufu wa Mungu. Pili kwa ajili ya Kanisa ambalo ni lake. Kisha kwa ajili ya watu hao walio nje, ambao wanadhihaki, wanabeza, wanakejeli, wanacheka,
Mtazamo ni wa kumgoja Mungu anaye ahidi "Tulia, ujue ya kuwa mimi ndimi Mungu" (Zaburi 46:10)