Sign up to save your podcasts
Or
Samwel Charles ni mtanzania na Software Engineer Andela/Cloudflare. Amesoma na kufanya kazi hapa nyumbani Tanzania, lakini aliona fursa kufanya kazi Andela na kwenye toleo hili atatueleza aliwezaje fanikisha hilo.
Sam ameeleza hatua alizopitia kutokea mwanzo kabisa namna alivyoona fursa kutoka Andela, namna alivyojisikia baada kufika Andela na namna wanavyofanya kazi huko.
5
22 ratings