Lishe Points

Saratani Ya Matiti (Breast Cancer)


Listen Later

Saratani ya Matiti ni ugonjwa usioambukizwa, huwapata watu wa jinsia zote (wanaume na wanawake). Je, unajua namna ya kujikinga na ugonjwa huu kwakuwa na matumizi mazuri ya makundi ya chakula?? Je,unajua namna ya kufanya tiba lishe (tiba kwakutumia chakula) kwa waliopata ugonjwa huu?? Karibu ujifunze kwa dakika 15 na mtaalamu wa tiba na lishe Ms.Khadija Kalipeni . Unaweza kutuuliza maswali kupitia voice message kwenye channel yetu ya spotify,googlepodcast na applepodcast , na pia katika account zetu za mitandao ya kijamii (twitter,instagram&linkedin) @lishepoints
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Lishe PointsBy Ms. Khadija Kalipeni (Health Nutritionist) & Other Health Specialists