Maarifa Podcast na Tumsime

SE1 EP01 - Jinsi Ya Kuzipangilia Data Kwenye Kompyuta | Data Structure


Listen Later

Kwenye kipindi cha leo, utajifunza kuhusu kupangilia data kwenye kompyuta (Data Structure), umuhimu wake na aina za data structure zinazotumika sana.
Pia utaweza kujifunza kuhusu Memory kwa ufupi.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Maarifa Podcast na TumsimeBy Tumsime