Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Linked List Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer.
Kwenye Kipindi cha leo utaweza kujifunza:-
1. Linked list ni data structure gani.
2. Sifa za Linked list kulinganisha na Array.
3. Aina za Linked list (Singly, Doubly, Circular).
4. Hatua za kutengeneza linked list.
5. Mifano ya maisha ya kula siku inapotumika.
Kipindi kinachofuta nitazungumzia kuhusu Stack.