Kwenye kipindi hiki tunaenda kumulika umuhimu wa mawasalino kwa software engineer. Maarifa utakayo yapata yanaweza kutumika kwenye taaluma yeyeto. Utaweza kujifunza vifuatavyo:-
1. Mawasiliano ni nini?
2. Umuhiumu wa mawasiliani
3. Silaha kuu za software engineer kama vile ushawishi na kuuza wazo lake
4. Mawasiliano yanavoweka kuwa complex