Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Stack Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer.
Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:-
1. Stack data structure.
2. History fupi ya stack data structure.
4. Vitu unaweza kufanya kwenye stack kama push, pop.
5. Mifano ya sehemu stack data structure inapotumika.