Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia kuhusu Array Data Structure kwenye Kompyuta. Utaweza kufahamu nini maana ya Array, umuhimu wa kufahamu Array kama Softare Engineer, Sifa/faida za kutumia Array, Wakati gani Array inakua sio cha guo zuri wakati wa kuandika programu.
Pia utaweza kujifunza kuhusu programming languages na mifano. Utaweza kufahamu vitu vya kuzingatia wakati wa interview na unapotumia Array.
Kipindi kinachofuta nitazungumzia kuhusu Linked List.