Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Queue Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer.
Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:-
1. Queue data structure.
2. Sifa za queue data structure
3. Operations unaweza kuzifanya kwenye queue DT kama vile enqueue, dequeue, peek
4. Matumizi ya queue DT
5. Mifano mbali mbali