Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Graph Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer.
Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:-
1. Graph data structure na kuelewa kuhusu vertex na edge.
2. Sifa za graph data structure
3. Aina za graph kama vile undirected na directed
4. Jinsi ya kutengeneza graph kwenye program au system kutumia Adjaceny matrix and Adjacency list.
5. Operation unawezoza kusifanya kwenye graph