ONGEA

Sehemu ya Kumi na Tatu


Listen Later

Mambo vipi rafiki?

Katika kipindi cha kumi na tatu tumesikia Ndonga na Kipepeo wameitwa polisi, je nini kitatokea? Huku Kipepeo kamwambia Bingo bila kondumu, hakuna kufanya ngono! Je, mahusiano yao yataendelea? Amani nae na Tunu, ndo hivyo! Tunu bado kashikilia msimamo wake. Je, mahusiano yao yataishiaje?

ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.   

 ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao.    

Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine.    

Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni.

Usipitwe na uhondo huu.

Ungana nasi katika mitandao ya kijamii

Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/

Twitter: https://twitter.com/ongea_radio

Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/

TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/ 

WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs

#ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

ONGEABy ONGEA