Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii.
Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii na changamoto zilizopo, kwenye sura hii ya kwanza na mapungufu yaliyopo kwenye sura hii na mapendekezo yao juu ya sura hii.
Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862
Subscribe kwenye chaneli yetu: https://www.youtube.com/@UCtr2I2XphLapB71XkxxrU4A
Sikiliza Podcast yetu kupitia:
Apple Podcast link: https://apple.co/3ZwLmSA
Spotify: http://bit.ly/40v0UYd
Google Podcast Link: http://bit.ly/3zm0irZ
Audiomack Link: https://audiomack.com/sheriapoa
Youtube Link: https://www.youtube.com/@sheriapoa#SheriaPoa #SheriaPoaPodcast #katiba #katibampya #sheria #sheriazaTanzania #tanzania #podcast #podcasts #podcastshow #podcasttanzania