Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Shuhuda na simulizi za Jasusi, zinazothibitisha nguvu na uweza wa Mungu katika maisha yetu ya kila siku.... more
FAQs about Shuhuda za Jasusi:How many episodes does Shuhuda za Jasusi have?The podcast currently has 14 episodes available.
September 21, 2020Samehe ili UsameheweKusamehe ni Kusahau, usipojifunza kusahau makosa ya wenzako jua maisha yako yako tabuni....more11minPlay
September 20, 2020Huruma na Kisasi ni vya BWANANi kawaida ya binadamu kuhukumu watu wengine kwa mambo wasiyoyajua vema. Lakini je! Umewahi kujiuliza? Hukumu yako ni ya haki? Je! Wajua hata Musa hakuweza kuhukumu kwa haki? Sikiliza kisa hiki...more11minPlay
September 20, 2020Kila Jambo na Majira YakeHakuna ubishi kwamba mafanikio ni zao la juhudi na maarifa. Lakini je! Umewahi kujiuliza? Kwanini wengine huchelewa kupata mafanikio japokuwa wanajitahidi kwa kila namna?...more18minPlay
FAQs about Shuhuda za Jasusi:How many episodes does Shuhuda za Jasusi have?The podcast currently has 14 episodes available.