Amedeus Live Podcast

Sifa Mbili Muhimu - TeeVo


Listen Later

Dhambi ni chochote kilichofanyika nje ya imani inayotenda kazi kwa upendo. Kama mwana wa Mungu umepokea imani na upendo ndani punde tu ulipozaliwa mara ya pili. Usiruhusu dhambi ikutawale tena kuanzia leo hii kwani wewe ni mwenye asili ya haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu.
Sambaza kweli hii ya ajabu na maalumu kwa mamilioni ya vijana wa rika kati miaka 13 hadi 19. Kitabu hiki kinapatikana kila mwezi na kina neno la kila siku. Nakala moja ni sh.3000 tu!
Wasiliana nasi leo: 0736000999 kwa maelezo au msaada zaidi.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael