Soulsister

Soulsister

Download on the App Store

Soulsister episodes

  • Life Lesson Number 8
    Nashare nawe mambo niliojifunza katika makusuzi yangu. Sikiliza ujifunze na usifanye makosa niliofanya mimi.....
    ---
    Send in a voice message: https://anchor.fm/dearnice/message
    7 min
  • Life Lesson no 7
    Nimekua nikishare nawe yale niliojifunza katika makuzi yangu ili uweze kujifunza kupitia mimi na usifanye makosa niliofanya mimi.... enjoy!!
    ---
    Send in a voice message: https://anchor.fm/dearnice/message
    6 min
  • Life Lesson #6
    Muendelezo wa mambo niliojifunza katika maisha yangu ( love edition)
    ---
    Send in a voice message: https://anchor.fm/dearnice/message
    4 min
  • Life lessons (1-5)Mambo Matano niliojifunza katika maisha yangu ya ujana
    Kuna baadhi ya vitu tunapitia kwa sababu ya kukosa tayarifa na elimu husika. Kwenye episode hii nimeshare nanyi mambo ambayo nilijifunza katika makuzi. Laiti kama ningeyajua Haya mapema hakika baadhi ya changamoto nisingezipitia kwenye maisha yangu. Sikiliza ili uwezo kujifunza ili usifanye makosa niliofanya mimi. Lets connect on social media Instagram @Dearnice_
    ---
    Send in a voice message: https://anchor.fm/dearnice/message
    18 min

About Soulsister

From the publisher's feed

In this podcast, we focus on self-development, Self Love, Career, and Finance