Najua umepitia mengi Kwa mwaka 2021, mengine yamekuhuzunisha pole ndugu yangu. PUMZI nimeiandaa kuwakumbuka wale wote waliopitia changamoto nyingi Kwa mwaka 2021. Mwaka mpya unaanza 2022 anza kwa kumshukuru aliyekuumba huku tukiendelea kupambana kila uchao, usikate tamaa ndugu yangu MUNGU yupo. Available on YouTube, Follow us on IG: @storyhub_podcast