Living Theology

SWAHILI SPEAKERS: Hatuna Jina Lingine


Listen Later

HATUNA JINA LINGINE
Kuna swali muhimu ambalo Biblia katika Agano Jipya linazingatia. Mitume walipo ulizwa- "ni kwa mamlaka gani mwatenda mambo haya?"
Baada ya kujieleza; mtume Petro anatangaza katika Matendo ya Mitume 4:12 hivi- Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Njia ya pekee ya wanadamu kumjua na kupatanishwa na Mungu, ni kwa jina la Yesu Kristo. Ndio njia pekee ya kuwafungua wanadamu kutoka kwa mateka ya vifungo vya dhiki ijayo kwa sababu ya dhambi na makosa. Njia hii inatuondolea woga wa mauti.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings