Living Theology

SWAHILI SPEAKERS Kumuelewa Kristo


Listen Later

Kwa kuwa zile kazi alizonipa Baba ili nimalize, kazi hizo zenyewe ninazotenda, za nishuhudia ya kwamba Baba amenituma. Yohana 5:36
Wakati unakabiliwa na kitu kinachokushangaza kuhusu Bwana Yesu, jambo la msingi ni kumfahamu Bwana mwenyewe kabla kile anachofanya. Kwa sababu, ikiwa mtazamo watu sio sahihi kuhusu nafsi Yake, hatutaelewa kamwe shughuli zake, wala kifo chake.
Wanafunzi walielewa maana ya kifo chake baada tu ya ufufuo. Ilikuwa katika nuru ya ufufuo ndipo walimjua yeye alikuwa mwana wa Mungu na hivi basi kuelewa maana ya kifo chake msalabani.
Hakuna mtu atakaye yaelewa mafundisho haya ya msalaba isipokuwa ameelewa mafundisho ya mtu huyu.
Kweli, hii ndio Bwana wetu alikuwa akimwambia Yohana mbatizaji katika Mathayo 11: 2-6: alipotaka kujua, " ni wewe  aajayo ama tumgoje mwingine?" “Yohana, swali lako limesababisha kunitilie shaka. Naye heri awaye yote asiye chukizwa Nami. Masihi tu ndiye angeweza kufanya mambo unayoyasikia; hapa kuna kazi ambazo zinathibitisha Yeye. Kama nilivyowaambia watu, 'Kuwa kazi ambazo Baba alinipa kumaliza, kazi zile zile ambazo mimi nafanya fanyeni, mnishuhudie kwamba Baba amenituma ’” (Yohana 5:36).
WAZO
unapokabiliwa na kitu kinachokushangaza kuhusu Bwana Yesu, jambo la kwanza kufanya daima ni kuanza na Bwana mwenyewe na baadye kile Anachofanya.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings