Living Theology

SWAHILI SPEAKERS: Sadiki Neno La Mungu


Listen Later

Biblia katika Yohana 20:25 Twasoma : Basi wanafunzi wengine wakamwambia, tumewmwona Bwana. Akawaambia, mimi nisipoziona mikononi mwake kovu za misumari, na kutia mkono wangu katika ubavu wake, mimi si sadidiki hata kidogo. (Yohana20:25)
Hapa tunaona kwamba, ikiwa utahoji na kujadili Maandiko, hautawahi ridhika. Lakini kwa kuamini, mashaka huondoka na tunapata majibu ya maswali yetu kwenye Neno. Mtume Thomas aliyagundua hayo.
Baada ya kufufuka; Kristo alijionyesha kwa mitume lakini Thomas hakuwepo. Alipopashua Habari hii, alitumia akili zake kufahamu jambo hili. "La ! akasema. Siwezi kusadiki Wala kukubali. Lazima nimwone na ni muguze. Mambo haya si kweli". Kumbuka alisema hivi ili Hali Kristo alikuwa amewahidi kufufuka.
Kristo alipowatokea siku Nane baadaye, alisema naye Thomas hivi, " wapi kidole chako Thomaso? Tazama mikono yangu na guza ubavuni mwangu." Yesu baadaye alimkaripia na kumwambia, "usiwe asiyeamini bali uwe aaminiye".
Mwenzangu neno la Mungu ni kweli na la kupokelewa kwa Imani.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings