Tanzania Embassy Beijing Podcast

Taarifa ya ufafanuzi kuhusu Usafiri wa kwenda China


Listen Later

Hivi karibuni Shirika letu la Ndege la Air Tanzania limetangaza kurejesha safari ya kwenda Guangzhou nchini China kuanzia tarehe 17 Julai 2022.
Kufuatia tangazo hilo Ubalozi umepokea ujumbe kutoka kwa wananchi mbalimbali hususan wafanyabiashara wakitaka kujua kama hivi sasa China imefungua mipaka yake na kwamba watanzania wataweza sasa kuja China na Air Tanzania kwa ajili ya shughuli zao.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Tanzania Embassy Beijing PodcastBy Tanzania Embassy Beijing Podcast

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

1 ratings