Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Welcome to the Tanzania Embassy Beijing Podcast! Headed by His Excellency Mbelwa Kairuki, Ambassador of United Republic of Tanzania in People’s Republic of China which is also accredited to Socialis... more
FAQs about Tanzania Embassy Beijing Podcast:How many episodes does Tanzania Embassy Beijing Podcast have?The podcast currently has 21 episodes available.
April 03, 2023Taarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la ChinaTaarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la China...more4minPlay
December 11, 2022Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari dhidi ya maambukizi ya UVIKO19Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari wanazopaswa kuchukua dhidi ya maambukizi ya UVIKO19...more6minPlay
December 05, 2022Taarifa kuhusu Bidhaa za Uvuvi kutoka Tanzania zinazohitajika kwa wingi katika soko la ChinaTaarifa kuhusu bidhaa za uvuvi (wild aquatic products) zinazohitajika kwa wingi katika soko la China na utaratibu wa kujisajili ili kuuza China kufuatia mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan nchini China...more11minPlay
October 29, 2022Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya RaisTaarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan...more19minPlay
September 16, 2022Ujumbe Maalum kwa Wanafunzi wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini ChinaUjumbe Maalum kwa wanafunzi watanzania wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini China...more10minPlay
September 03, 2022Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na ChinaTaarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na Jimbo la Zhejiang la nchini China. o la Zhejiang (CCPIT- Zhejiang Sub Council) Ndugu Chen Zongyao jijini Hangzhou. Zhejiang ni mojawapo ya Majimbo ya China yenye nguvu kubwa ya kiuchumi ikiwa na GDP ya Dola za Kimarekani Bilioni 849 na GDP per capital ya Dola za Kimarekani 14,907. Kutokana na utajiri wa Jimbo hilo, zipo fursa nyingi za biashara na uwekezaji....more6minPlay
August 22, 2022Taarifa Maalum kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Vyuo vikuu vya ChinaTaarifa kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu nchini China...more9minPlay
July 10, 2022Taarifa ya ufafanuzi kuhusu Usafiri wa kwenda ChinaHivi karibuni Shirika letu la Ndege la Air Tanzania limetangaza kurejesha safari ya kwenda Guangzhou nchini China kuanzia tarehe 17 Julai 2022. Kufuatia tangazo hilo Ubalozi umepokea ujumbe kutoka kwa wananchi mbalimbali hususan wafanyabiashara wakitaka kujua kama hivi sasa China imefungua mipaka yake na kwamba watanzania wataweza sasa kuja China na Air Tanzania kwa ajili ya shughuli zao....more10minPlay
June 26, 2022Ujumbe kwa wafanyabiasha na Waagizaji wa bidhaa kutoka ChinaUjumbe kwa wafanyabiashara na waagizaji wa bidhaa kutoka China...more13minPlay
December 07, 2021Hotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Jukwaa la Imperial Springs International ForumBalozi Kairuki aiomba Jumuiya ya kimataifa kushirikiana katika kulikabili janga la UVIKO19 badala ya kuyabagua mataifa ya Afrika yaliyoiwezesha dunia kufahamu aina mpya ya kirusi cha UVIKO19 (OMICRON). Rai ameitoa katika Mkutano wa Kimataifa wa Mwaka 2021 wa Imperial Springs uliofanyika jijini Guangzhou...more8minPlay
FAQs about Tanzania Embassy Beijing Podcast:How many episodes does Tanzania Embassy Beijing Podcast have?The podcast currently has 21 episodes available.