Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Welcome to the Tanzania Embassy Beijing Podcast! Headed by His Excellency Mbelwa Kairuki, Ambassador of United Republic of Tanzania in People’s Republic of China which is also accredited to Socialis... more
FAQs about Tanzania Embassy Beijing Podcast:How many episodes does Tanzania Embassy Beijing Podcast have?The podcast currently has 21 episodes available.
October 15, 2021Taarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) ChinaTaarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) China na changamoto kwa wanafunzi...more11minPlay
October 15, 2021Mwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la ChinaMwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la China kwa Makampuni ya Tanzania yenye nia ya kuchangamkia fursa ya soko...more6minPlay
August 08, 2021Mkutano wa Balozi na Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini ChinaHotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Mkutano na Watanzania wanaofanya Biashara na Kuishi nchini China uliofanyika tarehe 8 Agosti 2021...more35minPlay
August 02, 2021Ujumbe kuhusu fursa ya kuuza maharage ya soyaUjumbe wa kuhamasisha kilimo cha Soybeans nchini Tanzania kwa ajili ya soko la China...more7minPlay
July 26, 2021Ujumbe kwa Wafanyabiashara wa MadiniTaarifa kwa wadau wa Madini nchini kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Madini utakaofanyika jijini Tianjin tarehe 24 Oktoba 2021...more7minPlay
July 06, 2021Ubalozi wa Tanzania nchini China kuanzisha dawati la viwandaKwa kutambua uhitaji wa Msaada wa kununua Mashine na mitambo ya uzalishaji kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo, vya kati na vikubwa- kuanzia tarehe 1 Septemba Ubalozi wa Tanzania Nchini China utaanzisha DAWATI LA VIWANDA. Dawati hilo litatoa huduma kwa watanzania watakaokuwa na nia ya kununua kutoka China mitambo ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini....more15minPlay
June 08, 2021Ujumbe muhimu kwa wanafunzi wanaofadhiliwa na China Scholarship CouncilTaarifa muhimu kwa Watanzania wanaosoma nchini China kwa ufadhili wa China Scholarship Council. Taarifa hiyo inatoa mrejesho kuhusu baadhi ya masuala ambayo wanafunzi waliyawasilisha katika Mkutano Mkuu wa Wanafunzi wanaosoma China uliofanyika tarehe 22 Mei 2021...more9minPlay
May 27, 2021Ujumbe kwa wafanyabiashara wanaotaka kuuza bidhaa nje ya nchiMara nyingi Ubalozi unapotangaza fursa mpya ya soko- swali linaloulizwa na watu wengi ambao wanafikiria kuchangamkia fursa hiyo ni "wananunua kwa bei gani au offer yao ni kiasi gani". Ni vizuri kuwa na ufahamu wa jumla kuhusu mwenendo wa bei ya soko la dunia la bidhaa hiyo. Hata hivyo ni muhimu zaidi kwa anayetaka kuuza bidhaa - awe ndio mtoa bei kwani mwenye mali ndio anajua gharama aliyoingia kuipata mali yake na ili asipate hasara anatakiwa kuuza kwa bei gani.Hivyo, unapojipanga kuuza bidhaa nje- ni muhumu ukajua bei itakayokupa faida ni ipi....more8minPlay
May 06, 2021Fursa kwa wauzaji wa kahawa kutangaza bidhaa zao katika soko la ChinaTaarifa ya kwa Umma kuhusu hafla ya kuonja kahawa ya Tanzania "Coffee Cupping" itakayofanyika jijini Changsha tarehe 14-18 Juni 2021. Hafla hiyo itakayohudhuriwa na Makampuni yanayonunua kahawa katika soko la China itawezesha wauzaji wa kahawa ya Tanzania kutangaza bidhaa yao katika soko la China...more6minPlay
May 01, 2021Taarifa Muhimu kwa Watanzania Wanaosoma Vyuo Vikuu vya ChinaTaarifa kwa umma inayohusu watanzania wanaosoma vyuo vikuu vya China ambao hivi sasa wapo Nje ya China kutokana na kufungwa mipaka ya China...more17minPlay
FAQs about Tanzania Embassy Beijing Podcast:How many episodes does Tanzania Embassy Beijing Podcast have?The podcast currently has 21 episodes available.