Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? ... more
FAQs about Talisman Brisé:How many episodes does Talisman Brisé have?The podcast currently has 22 episodes available.
July 01, 2012Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake.......more3minPlay
June 24, 2012Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwaHatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Omar anapatikana....more3minPlay
June 17, 2012Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...Profesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru....more3minPlay
June 10, 2012Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa OmarKwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni watekaji nyara......more3minPlay
June 03, 2012Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..Safari hii,Polisi wanamzuia Kwame kumpata Profesa Omar akiwa peke yake.Wanampangia njama kali asifanikiwe,lakini anafanikiwa kuwashawishi na kuambatana nao kuelekea katika dimbwi la Garkoe kumwokoa Profesa Omar.....fuatilia...more3minPlay
May 06, 2012Profesa Abubakar abainika kuwa bandiaMambao yamekuwa mambo,Profesa Abubakar na daktarai wabainika kuwa profesa bandia na daktari bandia...fuatilia.....more3minPlay
April 29, 2012Watekaji nyara wadai pesa ili kumwachia profesa OmarKatika siku ya leo polisi wapata taarifa za madai kutoka kwa watekaji nyara wa Profesa Omar ambao wanadai pesa ili kumwacha huru.Endelea.....more3minPlay
April 22, 2012Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa?Kwamé na Nathalie wanatafuta kufungua jalada ya kompyuta ya mkononi ya Profesa Omar,ili wajue siri iliyopo nyuma ya kutekwa nyara kwa Profesa huyo, je, watafanikiwa? Sikiliza uburudike....more3minPlay
April 15, 2012Kwame bado anakabiliwa na changamoto ya kufika alipo Profesa Omar .Katika makala haya tutamuona kwame akipata mkanganyiko baada ya kumuona mtu aliyemdhania kuwa ni rafiki wa profesa Omar, je ni nani mtu huyo? na nini kitatokea?fuatilia mchezo huu wa redio kutoka hapa rfi kiswahili....more3minPlay
April 08, 2012Je Kwame atakata tamaa kumtafuta Profesa?Endelea kufuatilia mambo anayokumbana nayo Kwame katika harakati za kumwokoa Profesa Omar....more3minPlay
FAQs about Talisman Brisé:How many episodes does Talisman Brisé have?The podcast currently has 22 episodes available.