“Karibu kwenye somo letu TAMBUA MEMA YALIYO NDANI YAKO.
Leo tunazungumza juu ya nguvu ya kutembea katika ufahamu kwamba kuna mema mingi yako ndani yako katika Kristo.
Usiendelee kuwa na fahamu za udhaifu wa mwili; amka uone ukweli wa uzuri, uwezo na neema iliyo ndani yako.
Ukikiri na kutambua mema hayo, imani yako inakuwa yenye ufanisi—inafanya kazi kwa nguvu isiyo zuilika.
Huu ndio ufunguo wa athari kubwa, maisha ya ushindi na matokeo yasiyoweza kuzuilika.”