Amedeus Live Podcast

Tamka Kwa Sababu Umeamini


Listen Later

Mungu anatenda kazi kwa Imani..
Roho ile ile ya Imani aliyonayo ndio tuliyonayo leo! Zungumza sawa na kile alichokisema kuhusu wewe au mji wako. Pasipo Imani haiwezakani kumpendeza Mungu.
Achilia neno kila siku kwa Kinywa chako. .
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael