Sign up to save your podcasts
Or

Episodi hii imeangazia zoezi endelevu la kuwahamisha tembo walowezi kutoka maeneo ya karibu na wananchi kwenda hifadhini na zoezi zima la kuwaswaga tembo waliotoka hifadhini kuvamia maeneo ya wananchi na kuwarudisha hifadhini.
Sikiliza Episodi hii kwa taarifa hiyo na mengine mengi kupitia Epsode ya 12.
Eneo: Misenyi - Bukoba.
Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena
Guests: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Dkt. Fredrick Mofulu - Mkuu wa Hifadhi Ibanda - Kyerwa.
Na
Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Charles Ngendo - Mkuu wa Hifadhi Rumanyika - Karagwe.
Fuatilia kupitia Platform za TANAPA Podcast.
By Tanzania National Parks (TANAPA)Episodi hii imeangazia zoezi endelevu la kuwahamisha tembo walowezi kutoka maeneo ya karibu na wananchi kwenda hifadhini na zoezi zima la kuwaswaga tembo waliotoka hifadhini kuvamia maeneo ya wananchi na kuwarudisha hifadhini.