Episodi hii inaangazia
- Chimbuko la Elimu ya Ujirani Mwema
- Uanzishwaji na malengo yake kwa jamii zinazoishi kuzunguka Hifadhi za Taifa
- Faida zake na umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika kuhifadhi rasilimali za Taifa kwa kizazi cha sasa na kijacho
Mgeni Mualikwa: Afisa Uhifadhi Mwandamizi Samwel Nassari, Kitengo cha Uhifadhi – TANAPA Makao Makuu.
Host: Afisa Uhifadhi Daraja la Pili Happiness Sam, Idara ya Habari na Mawasiliano – TANAPA.
Sikiliza kupitia:
- Apple Podcasts
- Amazon Music
- YouTube Music
- Spotify
- Na majukwaa mengine zaidi ya 39 ya podcast duniani.
Usikose maarifa, elimu na mjadala wenye manufaa kuhusu Uhifadhi na Ujirani Mwema.
Stay tuned!
TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU
#TANAPAPodcast #TANAPADigital #TANAPAUpdates #UjiraniMwema #Conservation