Mwl. Erick’s Podcast

THE BEST IN THE WORLD


Listen Later

Karibu kwenye mafundisho ya “THE BEST IN THE WORLD”, ujumbe unaoamsha ukuu ulio ndani yako. Maana kama maji yanavyoakisi uso, ndivyo moyo wako unavyoakisi maisha yako. Usikubali dunia ikukande katika umbo lake—badilishwa kwa upya wa ufahamu wako katika Neno. Hebu sikiliza… ugundue uhalisi wako mpya: wewe ni bora kuliko wote duniani.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mwl. Erick’s PodcastBy Christ Embassy Kawe