Kama wewe ni college graduate, then umekuja sehemu sahihi, hii ni episode kwa ajili yako. Unachopitia kwa sasa haupo peke ako. Ndugu, wazazi na marafiki zetu wana matarajio makubwa sana na sisi baada ya kumaliza shule/chuo, wanatarajia kwamba tutapata kazi na kuanza kuwasaidia. Changamoto inakuja pale mambo yanapokwenda mrama.