Sign up to save your podcasts
Or

KANUNI YA MBEGU - SEHEMU YA PILI
Mbegu ni nini? Mbegu ni Mfumo unaohakikisha uzazi(uzalishaji) na uendelevu
Anayetawala mbegu anatawala matokeo.
Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Jambo/matokeo yoyote unayotamani kwenye Maisha ni mavuno ya mbegu sahihi. Hii inamaanisha ukiwa na mbegu sahihi unaweza kupata mavuno unayotamani
Ndoa nzuri ni mavuno
Jifunze Zaidi kwa kusikilize somo hili
By Christ Embassy KaweKANUNI YA MBEGU - SEHEMU YA PILI