Mwl. Erick’s Podcast

THE POWER OF IDENTITY - PT 1


Listen Later

Karibu kwenye mafundisho yanayofunua nguvu ya utambulisho wa kiumbe kipya ndani ya Kristo.

Utambulisho wako si hadithi ya jana, ni uhalisi mpya ulioumbwa kwa Neno la Mungu.
Ukijua wewe ni nani, hakuna nguvu ya dunia itakayokuzuia au kukupotosha.
Hebu ingia ndani ya ukweli huu… maana ndani ya Kristo, wewe ni zaidi ya kawaida

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mwl. Erick’s PodcastBy Christ Embassy Kawe