Hey love, hope you’re safe💕 Leo nataka kukumbusha kwamba we need God now more than never before 🙏🏾 it’s about time we all go back to him and tell him that we need his help we desperately need him😭 Until another episode please stay safe❤️
Habari gani watu wa Mungu. Leo kwenye the Queen Gee Podcast Nimefunguka ya helaa yotee. Tafadhali usiache kushare episode hii na ndugu jamaa na rafiki, tusaidiane kujengana. Alright? Alright! Enjoy😊
Kheri ya mwaka mpya 2020. Karibu kwenye Queen Gee Podcast😊 Ni matumaini yangu episode hii ni itabadilisha maisha ya mtu moja au wawili 🙌 Tafadhali share na rafiki na jamaa zako❤ Tubadilishe maisha ya mtu mmoja leo✨