Amedeus Live Podcast

Tiketi ya Kupokea kila Baraka


Listen Later

Je, unafikiri kuna baraka zimezuiliwa dhidi Yako!? Au unafikiri kuna aina za Baraka ambazo Bwana hajakubariki nazo bado!?
Au ni baraka Gani ambayo ungependa kumwomba Bwana akubariki nayo leo!?
Jina la Yesu ni tiketi ya Kupokea kila Baraka! Litumie vizuri kuanzia siku ya leo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael