Mwl. Erick’s Podcast

TWO IMPORTANT QUESTIONS


Listen Later

🎙️ Ubora wa maisha yako unategemea ubora wa maswali unayouliza.

Wale waliobadili mwelekeo wa maisha walikuwa ni waliouliza maswali sahihi.
Katika mafundisho haya, tutasafiri ndani ya Neno la Mungu kuchunguza Maswali Mawili Muhimu…
Maswali yanayoweza kubadilisha mwendo wako na hatima ya maisha yako.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mwl. Erick’s PodcastBy Christ Embassy Kawe