
Sign up to save your podcasts
Or


Umewahi kujiuliza jinsi programu hiyo inavyofanya kazi au teknolojia itakuwaje siku za usoni? Jiunge nasi tunapochunguza ulimwengu wa kuvutia wa teknoloji.
Jiandae kupanua ujuzi wako wa teknolojia! Tufuate katika safari ambayo tutazungumzia gunduzi za hivi punde, mwenendo, na mafanikio ya teknolojia. Yote haya ni katika podcast moja ya kusisimua.
KARIBU
From the publisher's feed
Karibu kwenye Ubora Podcast! Tunatengeneza podcast za Kiswahili zenye mwelekeo wa kugusia maeneo mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maisha ya kila siku, kwa lengo la kutoa uchambuzi wa kina lakini pia…
Kupitia mahojiano na wataalamu wa Nyanja hizo, watu mbalimbali wenye mifano hai, uzoefu na ujuzi mbalimbali, tunatathmini suluhu za vitendo katika changamoto hizi na kuja na suluhu na uchambuzi wa kina.
Jiunge nasi katika podcast yetu na usisahau kutoa maoni yako na kushiriki podcast yetu na watu wengine.